Zekaria 10

Mungu anaahidi ukombozi 1 Mwombeni Mwenyezi-Mungu awape mvua za masika. Mwenyezi-Mungu ndiye aletaye mawingu ya mvua; ndiye awapaye watu mvua za rasharasha, na kustawisha mimea shambani kwa ajili ya wote….

Zekaria 11

Kuanguka kwa wenye nguvu 1 Fungua milango yako, ewe Lebanoni ili moto uiteketeze mierezi yako! 2 Ombolezeni, enyi misunobari, kwa kuwa mierezi imeteketea. Miti hiyo mitukufu imeharibiwa! Enyi mialoni ya…

Zekaria 12

Yerusalemu utakombolewa baadaye 1 Neno la Mwenyezi-Mungu kuhusu Israeli. Mwenyezi-Mungu aliyezitandaza mbingu, aliyeiweka misingi ya dunia na kumpa mwanadamu uhai asema hivi: 2 “Nitaufanya mji wa Yerusalemu kuwa kama kikombe…

Zekaria 13

1 “Siku hiyo, kutatokea chemchemi ya kuwatakasa dhambi na unajisi wazawa wa Daudi na wakazi wote wa Yerusalemu. 2 Wakati huo, nasema mimi Mwenyezi-Mungu wa majeshi, majina ya vinyago vya…

Zekaria 14

Yerusalemu na watu wa mataifa mengine 1 Tazama, siku ya ghadhabu ya Mwenyezi-Mungu inakuja. Siku hiyo, enyi watu wa Yerusalemu, mali yenu itagawanywa mbele ya macho yenu. 2 Mwenyezi-Mungu atayakusanya…

Malaki 1

1 Kauli ya Mwenyezi-Mungu iliyomjia Malaki awaambie Waisraeli. Mwenyezi-Mungu anawapenda Waisraeli 2 Mwenyezi-Mungu asema: “Daima nimewapenda nyinyi”. Lakini watu wa Israeli wanauliza, “Umetupendaje?” Naye Mwenyezi-Mungu asema: “Je, Esau hakuwa ndugu…

Malaki 2

1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi awaambia makuhani: “Sasa enyi makuhani, nawaamuruni hivi: 2 Ni lazima mniheshimu mimi kwa matendo yenu, msiponisikiliza nitawaleteeni laana, vitu vyote mnavyopewa kwa mahitaji yenu nitavilaani. Na…

Malaki 3

1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema, “Tazama, namtuma mjumbe wangu anitangulie kunitayarishia njia. Bwana mnayemtafuta atalijia hekalu lake ghafla. Mjumbe mnayemtazamia kwa hamu kubwa atakuja na kutangaza agano langu.” 2 Lakini…

Malaki 4

Siku ya Mwenyezi-Mungu inakuja 1 Mwenyezi-Mungu wa majeshi asema: “Tazama, siku yaja, nayo inawaka kama tanuri. Wenye kiburi na waovu wote watatupwa humo na kuteketea kama mabua makavu; watateketea kabisa…

Tobiti 1

1 Hizi ni habari za maisha ya Tobiti mwana wa Tobieli, mwana wa Ananieli, mwana wa Adueli, mwana wa Gabaeli, wa ukoo wa Asieli, wa kabila la Naftali. 2 Wakati…