Yudithi 8
Yudithi, mwanamke Mwisraeli mjane 1 Wakati huo, Yudithi alisikia mambo yaliyotokea. Yeye alikuwa binti wa Merari, mwana wa Oksi, mwana wa Yosefu, mwana wa Ozieli, mwana wa Elkia, mwana wa…
Yudithi, mwanamke Mwisraeli mjane 1 Wakati huo, Yudithi alisikia mambo yaliyotokea. Yeye alikuwa binti wa Merari, mwana wa Oksi, mwana wa Yosefu, mwana wa Ozieli, mwana wa Elkia, mwana wa…
Sala ya Yudithi 1 Yudithi alianguka kifudifudi akajipaka majivu kichwani, akalifunua vazi lililofunika vazi la ndani la gunia; wakati huo huo watu walikuwa wanafukiza ubani hekaluni wakati wa jioni, mjini…
Yudithi aenda kambini mwa Holoferne 1 Yudithi alipomaliza kumlilia Mungu wa Israeli, 2 aliinuka, akamwita mjakazi wake, akashuka na kuingia katika vyumba alivyozoea kutumia wakati wa siku za Sabato na…
1 Holoferne akamwambia Yudithi, “Jipe moyo mama! Hakuna haja kwako kuwa na hofu moyoni mwako! Sijamdhuru yeyote anayechagua kumtumikia Nebukadneza, mfalme wa dunia nzima. 2 Hata sasa, watu wako wanaokaa…
Yudithi anabaki mwaminifu 1 Holoferne akawaamuru watu wampeleke Yudithi kwenye meza ambako sahani zake za fedha ziliwekwa, na akaandaliwe chakula kutokana na vyakula maalumu anavyokula na kupewa divai. 2 Lakini…
1 Mwishowe, usiku ulipoingia, wageni wakaomba radhi kuondoka; wakaenda zao. Kisha Bagoa akalifunga hema kwa nje na akawazuia watumishi wa Holoferne kuingia ndani. Hivyo wote wakaenda kulala; kila mmoja alikuwa…
Mpango wa Yudithi 1 Ndipo Yudithi akawaambia, “Ndugu zangu, nisikilizeni sasa, kichukueni kichwa hiki na kukitundika kwenye ukuta wa mji. 2 Chagueni kiongozi, na asubuhi na mapema jua linapochomoza, wachukueni…
Ushindi wa Israeli 1 Wanajeshi waliposikia kilichotukia, waliogopa, 2 wakaanza kutetemeka kwa hofu; hakuna aliyemngoja mwenzake; bali kwa nia moja walijaribu kukimbia kwa kupitia njia za milimani na mabondeni. 3…
Wimbo wa sifa wa Yudithi 1 Yudithi aliimba: “Msifuni Mungu wangu kwa ngoma, msifuni Bwana wangu kwa matoazi; mwimbieni zaburi na nyimbo za shangwe; mtukuzeni na kumwomba. 2 Maana, Mungu…
Malkia Vashti aasi amri ya mfalme Ahasuero 1 Mfalme Ahasuero,alipotawala ufalme wake ulikuwa mikoa 127, toka India hadi Kushi. 2 Kiti chake cha enzi kilikuwa katika mji mkuu Susa. 3…